Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,395 Reaction score 130,432 Jan 19, 2026 #21 Pdidy said: All d best Mpira ukichezwa kwa haki Hizi ndizo timu za final Hope tumeyao itakuwa uwanjan kushuhudia maana fujo zitakuwepo za kutosheleza Click to expand... Mjomba kama kuna mtu anakushawishi uingie kwenye mchezo wa kubashiri (kubeti), aisee mkimbie haraka sana. Maana atakuingiza kwenye umasikini mkubwa.
Pdidy said: All d best Mpira ukichezwa kwa haki Hizi ndizo timu za final Hope tumeyao itakuwa uwanjan kushuhudia maana fujo zitakuwepo za kutosheleza Click to expand... Mjomba kama kuna mtu anakushawishi uingie kwenye mchezo wa kubashiri (kubeti), aisee mkimbie haraka sana. Maana atakuingiza kwenye umasikini mkubwa.
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,656 Reaction score 37,824 Jan 21, 2026 Thread starter #22 Tate Mkuu said: Mjomba kama kuna mtu anakushawishi uingie kwenye mchezo wa kubashiri (kubeti), aisee mkimbie haraka sana. Maana atakuingiza kwenye umasikini mkubwa. Click to expand... Mshahara tutalipwa na nanimmku
Tate Mkuu said: Mjomba kama kuna mtu anakushawishi uingie kwenye mchezo wa kubashiri (kubeti), aisee mkimbie haraka sana. Maana atakuingiza kwenye umasikini mkubwa. Click to expand... Mshahara tutalipwa na nanimmku
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,238 Feb 3, 2026 #23 Mnachihanguuu said: Je waarabu wanawapenda weusi? Unakumbuka walichokakiongea morroco walipofanya vizuri kwenye kombe la dunia? Click to expand... Waliongea nini?? Hebu weka clip tumsikie! Shida yenu muda wote mnahisi kuonewa na kubaguliwa, huu ni ugonjwa mbaya sana.
Mnachihanguuu said: Je waarabu wanawapenda weusi? Unakumbuka walichokakiongea morroco walipofanya vizuri kwenye kombe la dunia? Click to expand... Waliongea nini?? Hebu weka clip tumsikie! Shida yenu muda wote mnahisi kuonewa na kubaguliwa, huu ni ugonjwa mbaya sana.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,238 Feb 3, 2026 #24 Imeloa said: Labda wewe utajifanya kuwapenda kwa sababu unaamini kwamba wao ndio wamekufanya ukamjua Mungu. Tatizo lako katika hilo ni kuwa mwafrika, usingekuwa mwafrika ungejitambua na kuhifadhi utamaduni wako. Click to expand... Mimi sina ubaguzi kwa yeyote, ila kuna watu weusi wanajionyesha kabisa kutowapenda waarabu, na hawana sababu za msingi why wanawachukia, maneno ya kipumbafu tu yasio na kichwa wala miguu
Imeloa said: Labda wewe utajifanya kuwapenda kwa sababu unaamini kwamba wao ndio wamekufanya ukamjua Mungu. Tatizo lako katika hilo ni kuwa mwafrika, usingekuwa mwafrika ungejitambua na kuhifadhi utamaduni wako. Click to expand... Mimi sina ubaguzi kwa yeyote, ila kuna watu weusi wanajionyesha kabisa kutowapenda waarabu, na hawana sababu za msingi why wanawachukia, maneno ya kipumbafu tu yasio na kichwa wala miguu