bei zako balaa nakushauri punguza hayo makabati ya kwanza na la tatu kko brand new mie napata kwa 140000tsh nakupeleka hadi dukani,na hilo la mwisho kuna mtu analo kama hlo ila kubwa zaidi lina droo na shelf portable za kutosha ni mara mbili ya hilo lako na anauza kwa laki 6 tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.