Kama hujui njaa ndo inayomfanya Msigwa aripot mambo ya Deo mana anapewa fungu la kutosha. Yan njaa mby sna huyo Msigwa ni njaa sna jamaa kamuhaid kummalzia nyumba yake iko Mkuzo songea mjn kwhyo lazma apge kaz.
Ndugu zangu ninaomba mnieleweshe kuna nini kinaendelea kati ya ITV na Filikunjombe kwani kwa muda wa siku tatu mfululizo ITV inafanya coverage ya huyu jamaa kwa nguvu kubwa ambayo kwa wachunguzi wa maswala ya siasa wanabaki na maswali mengi kuliko majibu.
Je, inawezekana ni kale ka scandal kwamba Mr. Machache aliwanunua Fili na Nyepesi ili wammalize Prof. Msosi Pitwa Mwongo?. Ni kama dots zinaunganishika hivi!. Sasa km ni hivyo, Imanweli Msigo wa chaneli hiyo nae amepachesiwa/botiwa?.
Nyepesi+Filiku+piesii+Machache+Escrow=Le profeseri out!