Kuna habari kuwa Marehemu Mzee Daudi Mwakawago (R.I.P) alikuwa na report nzito ya tuhuma ambazo angezitoa kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mkapa JK asingekuwa raisi wa TZ, amenukuliwa mzee wa umvi EL. Kwa yeyote mwenye insight ya yaliyokuwa kwenye hilo file atujuze wanajuamvi..
Sawa!Wenyewe wapo humu humu watakujibu, Lakini mkuu hujasema source yako ni nini?
Mkuu si wengine hatupendi hayo mambo, tafadhali usliweke... utulinde na sisi basi usiliwekendio na andaa hilo file subiri nipo na scan file la mwakawago kuhusu JK then niwape msome fasta naomba mnilinde:eyebrows::lol::A S 465:
Mkuu si wengine hatupendi hayo mambo, tafadhali usliweke... utulinde na sisi basi usiliweke
Kama hutaki hilo faili liwekwe basi kimbia JF kama jina lako Mpita Njia, hapa ni weak leaks bana weka faili tuweze kulichambua acha woga!!!!!!Mkuu si wengine hatupendi hayo mambo, tafadhali usliweke... utulinde na sisi basi usiliweke
Kuna habari kuwa Marehemu Mzee Daudi Mwakawago (R.I.P) alikuwa na report nzito ya tuhuma ambazo angezitoa kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mkapa JK asingekuwa raisi wa TZ, amenukuliwa mzee wa umvi EL. Kwa yeyote mwenye insight ya yaliyokuwa kwenye hilo file atujuze wanajuamvi..
Kuna habari kuwa Marehemu Mzee Daudi Mwakawago (R.I.P) alikuwa na report nzito ya tuhuma ambazo angezitoa kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mkapa JK asingekuwa raisi wa TZ, amenukuliwa mzee wa umvi EL. Kwa yeyote mwenye insight ya yaliyokuwa kwenye hilo file atujuze wanajuamvi..
samahani mkuu walisema paul sozigwa siyo Daudi mwakawago. hata hivyo sijui kama kuna logic anayetuhumiwa aanze kushughulika na hilo faili labda ungetoa habari kwamba hilo faili linatafutwa au limeibiwa tungekuelewa