Filbert Bayi: Lengo ni kushiriki sio kushinda

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Nimeshangazwa na Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania kwa kauli aliyoitoa juzi wakati akizungumzia michezo ya Olimpiki kuwa kitu cha muhimu ni kushiriki na si kushinda. Nadhani wakati umefika wa kuachana na viongozi wa aina ya Filbert Bayi kwani lengo la michezo hiyo ni kupeleka timu ya ushindi.

Kutokana na kushindwa kuwaanda vizuri wachezaji wetu ndio maana viongozi wa aina hiyo wanatoa kauli za ajabu. Nilitegemea mtu kama Filbert Bayi angeifikisha Tanzania juu badala ya kuishusha.
 
Kama uwezo wa kushinda hatuna, ulitaka aseme nini?!!

Kishawaandaa kisaikolojia tayari, ya kwamba msiweke matumaini hapo.
 
Back
Top Bottom