state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,515
Ujinga huu! Upo humu kila siku kusifia ujinga wa serikali ya CCM lakini yanapotokea ya kuwaumiza unatuletea humu.Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa
Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2
Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa muda sasa
Filamu zinaonyesha wasiokuwa waislam wanauwa na kuchinjwa hadharani huku wanaouwa hupewa vyeo ,mali na wanawake
Filamu zinazonesha maudhui ya kujitoa mhanga hadi kufa kisha wanappngezwa kwa kuwauwa wasio kuwa waislamu
Filamu zinazoonesha haja ya kueneza dini kwa mauaji na mateso kwa walioikataa mpaka wakubali
Filamu inayonesha kama mwanamke sio kitu mbele ya jamii yake
Japo sheria haiitambui Zanzibar kama nchi ya kidini vilevile Tanzania bado hi filamu zisingefaa kwa dunia ya sasa na hofu ya machafuko.
Mnataka mpaka nchi ichafuke au vitendo vya ugaidi vizidi ndio mkemee
chanzo ZBC2
Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa

Laana ukufikie broo .usitukane dini za watu wewe una dini yako na sisi tuna dini yenu kaa mbaliiiMkuu ZBC 2 sio channel ya taifa ile... Ile ni Islamic Tv, Azam wanatumia kueneza dini isiyo na mbele wala nyuma iliyojaa hadithi za abunuasi.
Zbc2 ni ya zanzibar ambayo 99.9 ni waislam kwani tatizo liko wapi?????Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa
Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2
Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa muda sasa
Filamu zinaonyesha wasiokuwa waislam wanauwa na kuchinjwa hadharani huku wanaouwa hupewa vyeo ,mali na wanawake
Filamu zinazonesha maudhui ya kujitoa mhanga hadi kufa kisha wanappngezwa kwa kuwauwa wasio kuwa waislamu
Filamu zinazoonesha haja ya kueneza dini kwa mauaji na mateso kwa walioikataa mpaka wakubali
Filamu inayonesha kama mwanamke sio kitu mbele ya jamii yake
Japo sheria haiitambui Zanzibar kama nchi ya kidini vilevile Tanzania bado hi filamu zisingefaa kwa dunia ya sasa na hofu ya machafuko.
Mnataka mpaka nchi ichafuke au vitendo vya ugaidi vizidi ndio mkemee
chanzo ZBC2
akijibu nitagiSasa hivi ZBC wanaonyesha misa ya leo ya anglican.
Vipi hapo? Ni wadini
Kazungumzia ZBC2 mkuuSasa hivi ZBC wanaonyesha misa ya leo ya anglican.
Vipi hapo? Ni wadini
Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa
Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2
Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa muda sasa
Filamu zinaonyesha wasiokuwa waislam wanauwa na kuchinjwa hadharani huku wanaouwa hupewa vyeo ,mali na wanawake
Filamu zinazonesha maudhui ya kujitoa mhanga hadi kufa kisha wanappngezwa kwa kuwauwa wasio kuwa waislamu
Filamu zinazoonesha haja ya kueneza dini kwa mauaji na mateso kwa walioikataa mpaka wakubali
Filamu inayonesha kama mwanamke sio kitu mbele ya jamii yake
Japo sheria haiitambui Zanzibar kama nchi ya kidini vilevile Tanzania bado hi filamu zisingefaa kwa dunia ya sasa na hofu ya machafuko.
Mnataka mpaka nchi ichafuke au vitendo vya ugaidi vizidi ndio mkemee
chanzo ZBC2
Toba! Nani kakupa amri au uwezo wa kumlaani binadamu mwenzio?Laana ukufikie broo .usitukane dini za watu wewe una dini yako na sisi tuna dini yenu kaa mbaliii
Ahahaahaaaaaahaha dunia hii ahahahaaaaaaaSasa hivi ZBC wanaonyesha misa ya leo ya anglican.
Vipi hapo? Ni wadini
Huu ni umbeyaUzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa