Filamu hupotosha imani

Filamu hupotosha imani

kateli

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
70
Reaction score
28
Kumekuwa na filamu nyingi sana hasa za magharib zinapotosha iman za kidini.

Mfano filamu za yesu.Kwa wakristo unaposali huvuta hisia ya image ya yesu alivyo kwa hiyo unakuta hata sura ya jamaa flan actor wa Hollywood ndiye aliye akilini.Hata watoto wanaamini yule ni yesu.

Au Filamu kama Clush of titans wamechukua maudhui ya kibiblia wakatengeneza hadithi yao eti Mungu wao kaenda kulala na mke wa mfalme ndipo akazaliwa mkombozi.

Angels and demons,The da vinci code na nyingine nyingi au ile ya kihindi yesu anaoa.

Filamu za kiislamu mhusika mkuu kama haoneshwi sura.

Mipaka inatakiwa iwepo jamani.Japo pia hata mziki pia mfano Kanye West.Au Kalapina anaimba eti mateso zaidi ya yesu msalabani.

Mungu wasamehe sana hasa hiki kizazi cha utandawazi.
 
Pia zinachangia kwa dhambi kuonekana ni vitu vya kawaida..
 
ndugu yangu mungu unaye wewe mwenyewe, na shetani unaye wewe mwenyewe, ila sasa wote wanakuwa dormant mpaka wewe utakapoamua unamfuata yupi kati yao kutokana na mawazo, kauli na matendo yako. matendo mengi yanayoonekana matamu yapo kwa shetani hivyo jitahidi kuyaepuka.
 
Kumekuwa na filamu nyingi sana hasa za magharib zinapotosha iman za kidini.

Mfano filamu za yesu.Kwa wakristo unaposali huvuta hisia ya image ya yesu alivyo kwa hiyo unakuta hata sura ya jamaa flan actor wa Hollywood ndiye aliye akilini.Hata watoto wanaamini yule ni yesu.

Au Filamu kama Clush of titans wamechukua maudhui ya kibiblia wakatengeneza hadithi yao eti Mungu wao kaenda kulala na mke wa mfalme ndipo akazaliwa mkombozi.

Angels and demons,The da vinci code na nyingine nyingi au ile ya kihindi yesu anaoa.

Filamu za kiislamu mhusika mkuu kama haoneshwi sura.

Mipaka inatakiwa iwepo jamani.Japo pia hata mziki pia mfano Kanye West.Au Kalapina anaimba eti mateso zaidi ya yesu msalabani.

Mungu wasamehe sana hasa hiki kizazi cha utandawazi.

Music industry belongs to freemason ambao lengo lao ni kuharibu jamii kabisa.
 
Back
Top Bottom