spiason1
Member
- May 31, 2016
- 26
- 18
Wakati najiuliza hiki kinachoendelea hapa Tanzania especially siasa ya Tanzania, nimegundua kuwa pamoja na kufunguliwa shule za kutosha za kata na binafsi ili kuondoa ujinga kwa watanzania Lakini naona tatzo bado ni kubwa na wajinga wanazidi kuongezeka.
Watanzania wengi hawahoji ila ni wapokeaji wazuri sana wa mambo hata Bila kujiuliza au au kuuliza,
Hivi mpaka sasa Kuna watu wanamihemko ya kisiasa?
Wakati wabunge wa vyama pinzani wakitoa hoja za msingi na hoja zenye tija kwa Serikali yetu,Lakini Kuna watu wanatokwa na mapovu ya sabuni ya gwanji wakiona upinzani hauna maana katika nchi hii?
Hebu jiulize, laiti Tanzania wasingekuwepo Leo ungekuwa unajua nini kinaendelea hapa Tanzania?
Jiulize maovu yote ambayo unayajua sasa hivi kama kusingekuwepo na upinzani? Ni mouvu gani ambayo wabunge wa Chama tawala wamewahi kuyasema ili wananchi wayatambue?
Tusiwe wafuata upepo, watanzania hii nchi ni yetu sote, kama tutaendelea kuwa wajinga kiasi hichi tusitegemee maendeleo.
Leo Kuna wabunge wamezuiliwa kuingia bungeni kwa kudai kitu cha msingi kabsa, ila Kuna watu wanaona ni Sawa tu, huo ujinga ni wa 4G.
Acheni uchama, tujenge taifa... Tukemee pale tunapoona haki haitendeki na tupongeze pale zuri linapofanyika.
By santos