Fikiri kabla ya kutenda

Lugha gongana...tuwekee kwa kiswahili
 
Tumwombe Mwifwa atusaidie, maana kwa ile miwani yake inaelekea ni msomi aliyebobea hivyo hizi lugha za watu hazimpigi chenga [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaha sawa Baby shem wangu
 
Hili ni fundisho tosha kwa wenye masikio,akili na macho yanayofanya kazi sawasawa.

Asante kwa harakati za kuikomboa jamii, ila jaribu siku nyingine kutuandikia kwa kutumia lugha mama....ili wote angalau tupate kuelewa sawa.
 
Mkuu we ni mfukuzi mzuri wa makaburi
 
Ukiolewa no comment
Means umekubali kufanywa nyama mfugwa na kila kitu .
So nani kakutuma utoke kanisani uje ukadai haki.
Naumelipiwa mahari??
 
Aisee kuwahusisha watu kwenye ndoa kunaharibu sana ndoa,ndugu marafiki wapite kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…