ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,233
- 2,161
Dah....[emoji54] [emoji53] [emoji53]Smh...
Hebu tusikitike kidogo!
AmeniThat's good. I always tell people that women are the source of family problems especially when they are supported outside. Every man is weak in front of a man but it depends on how a woman treats him. Weakness is that, a woman can make a man feel responsible for his family, can make a man to be humble and loved, can make him smart, energetic and determined . A woman can make a man slave and just give anything she want. Etc. Its better for people outside to say a man herbed au amelishwa limbwata because of love kuliko kusifiwa kwa ugomvi. So women wake up take of your husbands and never take negative dvice from outside. Your husband is your life. He is on behalf of your parents. Respect him as you respect your parents. Obeying him sio kwamba ndo unajidhalilisha hapana. That is your responsibility and if you do it then he will be responsible for you. Amen
Pole sana!ni kweli mtupu....hata mimi ya kwangu imeharibiwa na wanafamilia...manake tukigombana wanaingilia kati ..ndugu,ndugu...wanaharibu ndoa...mimi upande wangu nilionekna na demu sehemu mbaya...mdogo mtu wa kike akapiga picha akamtumia dada mtu na ndugu wengine na mashoga zao...sasa ndoa iko mashakani..lakini sijui yule mdogo mtu anapata faida gani..ila kwa sababu nyumba imekuwa ya moto nimeamua kuondoka kwanza niwaachie wakae na ndugu zake...na watoto pia....ila yeye ni kiburi na dharau ndiyo kwake!!!!natafakari kwanza
Pole sana!
Mtumie hiki kisa pengine kinaweza kikamjenga upya
Unatakiwa ujinyenyekeze kwake. Mfano kwenye kule " samahani Mme wangu chakula tayari" huku umepiga hata goti japo sio lazima. Mwandalie MAJI ya kuoga, mtege wakati wote kwenye Yale mambo yetu sio mpaka yeye akuanze. Usimkemee wala kumkaripia wala kusukuma wala kumpiga. Ukikosea usijifanye kidume. Hata kama hujakosea Lakini akakwambia umekosea mwombe msamaha toka moyoni. Always acha kununa nuna bila sababu hata kama una sababu. Usimuhisi kama ana mchepuko maana utatokea kweli kwa sababu ya mawazo yako .. Amini upo peke yako na anakupenda wewe tu. Mtaishi milele bila kugombana. Kifupi msione kwamba kumnyenyekea na kutii mume ni utumwa hasha. Mke ataingia peponi kama mume ameridhia.Yaani shida Wanaume wengi wanaingia kwenye ndoa na shit maana wanajua ni Majukumu ya mwanamke kumvumilia yaani hawazi kubadilika,,, maisha ni kuvumiliana sio kuvumiliwa
"As a man thinkenth so is he"Unatakiwa ujinyenyekeze kwake. Mfano kwenye kule " samahani Mme wangu chakula tayari" huku umepiga hata goti japo sio lazima. Mwandalie MAJI ya kuoga, mtege wakati wote kwenye Yale mambo yetu sio mpaka yeye akuanze. Usimkemee wala kumkaripia wala kusukuma wala kumpiga. Ukikosea usijifanye kidume. Hata kama hujakosea Lakini akakwambia umekosea mwombe msamaha toka moyoni. Always acha kununa nuna bila sababu hata kama una sababu. Usimuhisi kama ana mchepuko maana utatokea kweli kwa sababu ya mawazo yako .. Amini upo peke yako na anakupenda wewe tu. Mtaishi milele bila kugombana. Kifupi msione kwamba kumnyenyekea na kutii mume ni utumwa hasha. Mke ataingia peponi kama mume ameridhia.
Kiswahili tafadhali....[emoji12]"As a man thinkenth so is he"
Rafiki yangu huyafanya yote haya lakini bado mumewe anamwona kama takataka pamoja na uzuri wote alionao. Anyway ndoa ina siri nyingi.Unatakiwa ujinyenyekeze kwake. Mfano kwenye kule " samahani Mme wangu chakula tayari" huku umepiga hata goti japo sio lazima. Mwandalie MAJI ya kuoga, mtege wakati wote kwenye Yale mambo yetu sio mpaka yeye akuanze. Usimkemee wala kumkaripia wala kusukuma wala kumpiga. Ukikosea usijifanye kidume. Hata kama hujakosea Lakini akakwambia umekosea mwombe msamaha toka moyoni. Always acha kununa nuna bila sababu hata kama una sababu. Usimuhisi kama ana mchepuko maana utatokea kweli kwa sababu ya mawazo yako .. Amini upo peke yako na anakupenda wewe tu. Mtaishi milele bila kugombana. Kifupi msione kwamba kumnyenyekea na kutii mume ni utumwa hasha. Mke ataingia peponi kama mume ameridhia.
A man is literally what he thinks his character being the complete sum of all his thoughts...nazan hapo utakua umenipat fresh...nmesapot mawazo yakoKiswahili tafadhali....[emoji12]
Ni somo zuri sanaKweli anastahili pole na mwenzetu katupa somo.
Hujioni wewe ni tatizo ulitaka mdogo MTU hata akikukuta umefia shimoni asitoe taarifa..jamani mnaposema tuvumiliane sio madudu mnayofanya kwa makusudi...Bali ni magonjwa,njaa, raha...na vingine...eti wanawake watuvumilie...TUVUMILIANE.......basi kama ni kukuvumilia na wewe ukinifumania nivumiliee...akili za wanaume wajinga zinawaza Kuvumiliwa ni pale wanapochepuka. fyuuuuu...pyuuuuuuuu.ni kweli mtupu....hata mimi ya kwangu imeharibiwa na wanafamilia...manake tukigombana wanaingilia kati ..ndugu,ndugu...wanaharibu ndoa...mimi upande wangu nilionekna na demu sehemu mbaya...mdogo mtu wa kike akapiga picha akamtumia dada mtu na ndugu wengine na mashoga zao...sasa ndoa iko mashakani..lakini sijui yule mdogo mtu anapata faida gani..ila kwa sababu nyumba imekuwa ya moto nimeamua kuondoka kwanza niwaachie wakae na ndugu zake...na watoto pia....ila yeye ni kiburi na dharau ndiyo kwake!!!!natafakari kwanza
Je na Wewe Uko tayari kufanya hayo kwa upande wa pili au unaoa ili ufanyiwe hayoUnatakiwa ujinyenyekeze kwake. Mfano kwenye kule " samahani Mme wangu chakula tayari" huku umepiga hata goti japo sio lazima. Mwandalie MAJI ya kuoga, mtege wakati wote kwenye Yale mambo yetu sio mpaka yeye akuanze. Usimkemee wala kumkaripia wala kusukuma wala kumpiga. Ukikosea usijifanye kidume. Hata kama hujakosea Lakini akakwambia umekosea mwombe msamaha toka moyoni. Always acha kununa nuna bila sababu hata kama una sababu. Usimuhisi kama ana mchepuko maana utatokea kweli kwa sababu ya mawazo yako .. Amini upo peke yako na anakupenda wewe tu. Mtaishi milele bila kugombana. Kifupi msione kwamba kumnyenyekea na kutii mume ni utumwa hasha. Mke ataingia peponi kama mume ameridhia.