Kati yenu ndugu hakuna anayeweza kujitolea figo kwa ajili ya mzee?Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa Figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya Mzee wao kwa yeyote atakaeguswa awasiliane nasi kwa namba:0754-657622; 0682-068821; 0713-233989;Aidha familia itatoa Tshs milion 10.kama ahsante...Ombi sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine...
Dau dogo.. Wafike fike kwenye 30m hiviiKati yenu ndugu hakuna anayeweza kujitolea figo kwa ajili ya mzee?
Ehhehe swali zurii ,,,wamekujibu?Kati yenu ndugu hakuna anayeweza kujitolea figo kwa ajili ya mzee?
Wakikujibu nistue niwapelekeevua kwanguKati yenu ndugu hakuna anayeweza kujitolea figo kwa ajili ya mzee?
Sawa na sh ngapiFigo bei yake ni £20,000
mkuu fanyeni bilioni 1 hii yangu ni originalHii nimeikuta sehemu na kujiuliza maswali mengi.Nanyi wadau wa JF someni na kutoa maoni yenu.
Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa Figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya Mzee wao kwa yeyote atakaeguswa awasiliane nasi kwa namba:0754-657622; 0682-068821; 0713-233989;Aidha familia itatoa Tshs milion 10.kama ahsante...Ombi sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine...
Labda wana magonjwa ya kurithi kwahyo wanafamilia wana disqualifymillion kumi ni ndogo sana atleast wafike hata 50m
lakini kati yao wote ni inamaana ni wanywa wa pombe na vuta sigara au maana sielewi kabisa
Kama milioni 44 ivi kwa pesa yetu ya madafuSawa na sh ngapi
Milion 10 si bora niendage BIKO huko, Kama Kuna mil 100 nitawapa Figo mbili zote nyingine wataitunza kama spear.