DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,639 Reaction score 1,799 Sep 27, 2014 #1 Wakati naangalia kipindi cha michezo CNN.Wametaarifu kua Raisi wa FIFA amekaa ripoti ya kashfa ya rushwa inayoihusu FIFA isisomwe hadharani.Anataka iwe siri.Huyu babu analiua hili shirikisho.Na amepanga kugombea tena.
Wakati naangalia kipindi cha michezo CNN.Wametaarifu kua Raisi wa FIFA amekaa ripoti ya kashfa ya rushwa inayoihusu FIFA isisomwe hadharani.Anataka iwe siri.Huyu babu analiua hili shirikisho.Na amepanga kugombea tena.