Fifa under 20 ghana vs france

Fifa under 20 ghana vs france

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
Naomba kujuzwa mechi hii ya nusu fainali inachezwa lin
 
Unaweza kukuta Ghana ni vijeba,baada ya miaka 4 ukashangaa hawa wachezaji hamna kitu!
 
Nahisi Ghana wana vijeba,ila uwezo wakusawazisha Ghana upo
 
FT: Ghana 1 france 2 , france wanatinga final wakimsubiri mshindi kati ya uruguay vs iraq mechi itakayoanza saa tatu
 
Back
Top Bottom