Nahisi alikua anamtania kuwa goli la pili sikuona mpira unakuja nilishitukia upo kwenye nyavu watu wanashangilia!
Angalia vizuri kidole cha shahada anamsigina nacho shavuni
HahahahaHukuangalia Ss3 ww ndo maana umesema hvo,,, kma ulichek tbc huwez kumbuka tukio hlo
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Hukuangalia Ss3 ww ndo maana umesema hvo,,, kma ulichek tbc huwez kumbuka tukio hlo
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Hata baada ya kufungwa magoli mawili... Bado anacheka na yule aliyemfunga. Je Kipa wa Yanga au Simba anaweza fanya hivi kabla hajapigwa na mashabiki?
View attachment 167232[/QUOTE
Nimeipenda avata yako kwani ni bonge la fair play pia!
Dah! unatusononesha wenzio tunaocheki kupitia tbc maana uwa wanawahi kuongea na kutupeleka uwanjani wakati mpira ushaanza, ila ni bonge la picha!Hukuangalia Ss3 ww ndo maana umesema hvo,,, kma ulichek tbc huwez kumbuka tukio hlo
Sent from my iPhone using JamiiForums.