Sipendi namna clouds na ile jingo yao ya wema mpaka paka wamo!haina mantik vipo vingi vya kuitangaza swanga si kwa uchawi/ushirikina kama wanavyotangaza!!!
Sipendi namna clouds na ile jingo yao ya wema mpaka paka wamo!haina mantik vipo vingi vya kuitangaza swanga si kwa uchawi/ushirikina kama wanavyotangaza!!!
Nimeimisi sana sumbawanga enzi zangu za kantalamba sec.Sipati picha mitaa ya chanji,kizwite,izia,majengo,sumbawanga wenyeji,jangwani japo nasikia kwa sasa sumbawanga imechangamka sana tofauti na kipindi tuko huko.Sante kalesaaaaaaaaa