ZionTZ JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,282 Reaction score 541 Sep 10, 2017 #1 Kiba apagawisha arusha....sauti yake ya jukwaani haina tofauti na ya kwenye CD, mziki mzuri tuliburudika sana....hapa na mausingizi baaadae ntatupia zingine...pata starter kwanza.
Kiba apagawisha arusha....sauti yake ya jukwaani haina tofauti na ya kwenye CD, mziki mzuri tuliburudika sana....hapa na mausingizi baaadae ntatupia zingine...pata starter kwanza.
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,775 Reaction score 257,516 Sep 10, 2017 #2 Tumeisikia Ila wasanii wa Bongo kuperform live bado Sana. Wanabebwa na Majina.
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,782 Sep 10, 2017 #3 Kiba nishida. Domo hakunji chapati hamfikii kiba. Anakula hela za mjane wa ivan Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba nishida. Domo hakunji chapati hamfikii kiba. Anakula hela za mjane wa ivan Sent using Jamii Forums mobile app
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,945 Reaction score 23,891 Sep 10, 2017 #4 Licha ya mapenzi yangu kwa music siwezi udhuria show hizo... Jana waliimba wasanii au watu waliimbishwa!??
Licha ya mapenzi yangu kwa music siwezi udhuria show hizo... Jana waliimba wasanii au watu waliimbishwa!??
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,507 Reaction score 10,715 Sep 10, 2017 #5 jembe afrika said: Kiba nishida. Domo hakunji chapati hamfikii kiba. Anakula hela za mjane wa ivan Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... comment nyingine bhana dah hahahahaha
jembe afrika said: Kiba nishida. Domo hakunji chapati hamfikii kiba. Anakula hela za mjane wa ivan Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... comment nyingine bhana dah hahahahaha
chukuachako JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 1,260 Reaction score 871 Sep 10, 2017 #6 data said: Licha ya mapenzi yangu kwa music siwezi udhuria show hizo... Jana waliimba wasanii au watu waliimbishwa!?? Click to expand... Hata hua hawaimbishwi ni mapenzi ya mashabiki kupenda kuimba
data said: Licha ya mapenzi yangu kwa music siwezi udhuria show hizo... Jana waliimba wasanii au watu waliimbishwa!?? Click to expand... Hata hua hawaimbishwi ni mapenzi ya mashabiki kupenda kuimba
kenge 10 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 1,450 Reaction score 2,386 Sep 10, 2017 #7 Mchangani
rymond Gabriel Senior Member Joined Sep 3, 2016 Posts 164 Reaction score 82 Sep 10, 2017 #8 Kwa performance bhado Sana'a acha tu domo aburuze Sent using Jamii Forums mobile app
Don chul Lingula JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 363 Reaction score 276 Sep 10, 2017 #9 Kibakuli amepoza sana show mbafuuuuu sana mm mwenyewe nilikuwepo Sent using Jamii Forums mobile app