Mmmh aseee!, ni sawa JF ni jukwaa huru kabisa ila sometimes nawaomba vijana wenye damu inayochemka tupunguze lugha zenye ukakasi.
Ndiyo maana huwa naona yule mh. anawajibu kuwa bundle likiwa gharama ya chini sana mnakosa cha kuandika, mnaanza kutukana ovyo.