Nimejurishwa kwamba,mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini,amewaambia wakazi wa kitongoji cha Ihumwa kwamba ardhi yao itachukuliwa na serikali kwa nguvu na wananchi watalipwa millioni 2.5,bila kujari ardhi wanayomiriki,wala makubariano ya apo awari ya kulipa Tsh 1500,kwa kila mita ya mraba,
Wakuu mwenye taarifa zaidi tunaomba.