Fid Q: Profesa Shivji alishawahi kuniambia nina u-profesa ndani yangu, hadi kichwa kinaniuma

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Msanii Fid Q amesema anapewa sifa nyingi ambazo amesema zimekuwa ni mzigo wa mwiba kwake kwa kuwa zinamfanya afikirie ni jinsi gani ataweza kufanya kama anavyofanya au vizuri zaidi ya anavyofanya

Amesema kuna kipindi baada ya kutoa albamu yake ya Propaganda, Profesa Shivji na mzee Wotabugoya walimwambia kuwa ana uprofesa ndani yake kwa kuwa vitu ambavyo wanaviweka kwenye vitabu vitatu yeye Fid Q anaweza kuviweka ndani ya wimbo mmoja kitu ambacho wao hawawezi na Mzee Bugoya pia alishawahi kumuambia kuwa anahitaji kutengenezewa sanamu
Zamani watu walikuwa wakimfuata pembeni na kumuambia lakini hivi sasa wamekuwa wakienda kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumfagilia na kumpa pressure kubwa ya kutowaangusha

Kuna kipindi kaka yake nanyeitwa Chaali anayeishi nje ya nchi amabaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii alichambua Siri ya Mchezo kwenye makala yake moja vizuri kiasi kwamba mhariri akasema haina haja ya kuwepo kule kwa kuwa itakuwa ni kama wanampa promo Fid Q, lakini Fid Q amesema haikuwa sawa kwa kuwa ingewa inspire vijana kuiga mazuri kwa wasanii kwa kuwa wamekuwa wakiiga mambo ya hovyo kama kutepesha suruali

Amesema albamu yake ya Kitaalojia itatoka Agosti 13 mwaka huu
 
Namkubali sana fid q anamistali kuntu, hata ukitumia kasimu hapati maana yake ,jamaaa ni shidaaaa
 
Labda uprofesa maji marefu au Ulipumba
 
Back
Top Bottom