Fid Q na Jay moe acheni kuongea na kuahidi vitu msivyo na uhakika

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,089
Ni zaid ya miaka mitano sasa Fid q anatupiga kalenda kuhusu ujio wa album yake ya KITAAOLOJIA na Jay moe nae anatuzuga kuhusu album ya MOCUMENTARY. Na mwaka huu Joh Makini naye kaja na nae ametuahidi album ya GOD ENGENEERING sijua atatimiza au la.

Kiukweli tunajua mazingira la album katika soko letu yalivyo sasa kama hizo project zipo zitoeni au mtoe kauli za kueleweka juu ya mikwamo yenu siyo kuwa mnarusha tarehe na kukwepa kutoa majibu ya moja kwa moja ama kama hizo project hazipo mseme maana sisi ni mashabiki tunasubir mpaka tunachoka na hatuelewi hatma ya ahadi zenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom