Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,662 Sep 25, 2018 #1 VERSE 1: Ulianza wewe.. wakaja waimbaji na wabana pua Wale mwewe.. Franga wawindaji wakatusua Kwakuwa.. wanajua mshikaji unaishi kwa miko Na zako itikadi.. ziko kimziki na sio mshiko Kama haileti hela..basi haimake sense.. no sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi Sikusound garbage au kuchange suddenly.. Mie ni mjeshi so naweza fight savagely Hiphop ya ukweli.. ukapigwa radioni Sometimes malaika wa heri nao hutembelea motoni Penzi ni kipofu na anayemuona halioni Sikuwa na hofu.. mama alinipenda tangu nikiwa tumboni I started young.. I made my mother's womb a drum/ My umblirical chord a guitar.. muhoji aliyenizaa BONGOFLAVA mzuri kiasi.. hiphop we ndo my queen My 1st.. my last & everything in between Chorus: Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2 ' VERSE 2: Kama kukupenda wewe ni dhambi.. basi shetani yu nami Na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari Ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari Sio tu bongo.. mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari Kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi Unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi Unawakumbusha wazazi wa uswazi.. chati ya uteja imeingia Na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati Mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate Chorus: Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2 VERSE 3: Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu Inanipa wazimu.. kusikia kimwana haujaachana na Hasheem Na bado mnawasiliana..una mpango wa kuchanganya timu? Nakupenda hiphop.. ndo maana ninarap ile mbaya Naspit fire bila hennessy.. au kula kaya I want my art to be my legacy.. kabla sijaretire.. waanze nigwaya hawa enemies.. anyways NI HAYO TU Beef huletwa na wivu.. na wivu sio hiphop MC nayetaka BEEF amlete Maza ake kwa strip club BONGO FLAVA ananipima.. kama nimeiva kimasomo Anagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common Cha ajabu hunitempt... ili nikuache HIPHOP Anaahidi atanipa GOOD SEX.. wewe unanipa TRUE LOVE Hajui who's next.. wewe unanipa tu mashavu Nikipaa.. anaumia.. anatamani nishuke chini Nami sikutamani USTAA.. USTAA ulinitamani mimi Nilichohitaji.. ni kuitumia hii sanaa ili nishee na nyinyi Hii zawadi.. niliyopewa na MPAJI ninayemuamini MPAJI aliyenivika taji ilimradi incharge ni win Na ninaamini.. kuna muda huongea kwa kupitia mimi Na hunisamehe ninapokosea.. ni vyema mkanizoea nyinyi Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha Nikitoa ngoma.. wanaitaka.. wanaipata.. coz wewe ni special
VERSE 1: Ulianza wewe.. wakaja waimbaji na wabana pua Wale mwewe.. Franga wawindaji wakatusua Kwakuwa.. wanajua mshikaji unaishi kwa miko Na zako itikadi.. ziko kimziki na sio mshiko Kama haileti hela..basi haimake sense.. no sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi Sikusound garbage au kuchange suddenly.. Mie ni mjeshi so naweza fight savagely Hiphop ya ukweli.. ukapigwa radioni Sometimes malaika wa heri nao hutembelea motoni Penzi ni kipofu na anayemuona halioni Sikuwa na hofu.. mama alinipenda tangu nikiwa tumboni I started young.. I made my mother's womb a drum/ My umblirical chord a guitar.. muhoji aliyenizaa BONGOFLAVA mzuri kiasi.. hiphop we ndo my queen My 1st.. my last & everything in between Chorus: Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2 ' VERSE 2: Kama kukupenda wewe ni dhambi.. basi shetani yu nami Na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari Ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari Sio tu bongo.. mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari Kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi Unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi Unawakumbusha wazazi wa uswazi.. chati ya uteja imeingia Na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati Mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate Chorus: Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2 VERSE 3: Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu Inanipa wazimu.. kusikia kimwana haujaachana na Hasheem Na bado mnawasiliana..una mpango wa kuchanganya timu? Nakupenda hiphop.. ndo maana ninarap ile mbaya Naspit fire bila hennessy.. au kula kaya I want my art to be my legacy.. kabla sijaretire.. waanze nigwaya hawa enemies.. anyways NI HAYO TU Beef huletwa na wivu.. na wivu sio hiphop MC nayetaka BEEF amlete Maza ake kwa strip club BONGO FLAVA ananipima.. kama nimeiva kimasomo Anagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common Cha ajabu hunitempt... ili nikuache HIPHOP Anaahidi atanipa GOOD SEX.. wewe unanipa TRUE LOVE Hajui who's next.. wewe unanipa tu mashavu Nikipaa.. anaumia.. anatamani nishuke chini Nami sikutamani USTAA.. USTAA ulinitamani mimi Nilichohitaji.. ni kuitumia hii sanaa ili nishee na nyinyi Hii zawadi.. niliyopewa na MPAJI ninayemuamini MPAJI aliyenivika taji ilimradi incharge ni win Na ninaamini.. kuna muda huongea kwa kupitia mimi Na hunisamehe ninapokosea.. ni vyema mkanizoea nyinyi Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha Nikitoa ngoma.. wanaitaka.. wanaipata.. coz wewe ni special
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,763 Reaction score 22,542 Sep 25, 2018 #2 watakuja kukwambia kakopi vitabu afu wataleta wsnaojua eti vina dizasta,one sijui na vibakteria gani!!
watakuja kukwambia kakopi vitabu afu wataleta wsnaojua eti vina dizasta,one sijui na vibakteria gani!!
kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,318 Reaction score 4,116 Sep 25, 2018 #3 King of world Hip hop.
cyrax Senior Member Joined Mar 12, 2017 Posts 110 Reaction score 109 Sep 25, 2018 #4 Fundi wa heshima hip pop tamu balaa
blackmweusi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 241 Reaction score 187 Nov 4, 2018 #5 Kanungila Karim said: VERSE 1: Ulianza wewe.. wakaja waimbaji na wabana pua Wale mwewe.. Franga wawindaji wakatusua Kwakuwa.. wanajua mshikaji unaishi kwa miko Na zako itikadi.. ziko kimziki na sio mshiko Kama haileti hela..basi haimake sense.. no sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi Sikusound garbage au kuchange suddenly.. Mie ni mjeshi so naweza fight savagely Hiphop ya ukweli.. ukapigwa radioni Sometimes malaika wa heri nao hutembelea motoni Penzi ni kipofu na anayemuona halioni Sikuwa na hofu.. mama alinipenda tangu nikiwa tumboni I started young.. I made my mother's womb a drum/ My umblirical chord a guitar.. muhoji aliyenizaa BONGOFLAVA mzuri kiasi.. hiphop we ndo my queen My 1st.. my last & everything in between Chorus: Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2 ' VERSE 2: Kama kukupenda wewe ni dhambi.. basi shetani yu nami Na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari Ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari Sio tu bongo.. mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari Kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi Unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi Unawakumbusha wazazi wa uswazi.. chati ya uteja imeingia Na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati Mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate Chorus: Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2 VERSE 3: Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu Inanipa wazimu.. kusikia kimwana haujaachana na Hasheem Na bado mnawasiliana..una mpango wa kuchanganya timu? Nakupenda hiphop.. ndo maana ninarap ile mbaya Naspit fire bila hennessy.. au kula kaya I want my art to be my legacy.. kabla sijaretire.. waanze nigwaya hawa enemies.. anyways NI HAYO TU Beef huletwa na wivu.. na wivu sio hiphop MC nayetaka BEEF amlete Maza ake kwa strip club BONGO FLAVA ananipima.. kama nimeiva kimasomo Anagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common Cha ajabu hunitempt... ili nikuache HIPHOP Anaahidi atanipa GOOD SEX.. wewe unanipa TRUE LOVE Hajui who's next.. wewe unanipa tu mashavu Nikipaa.. anaumia.. anatamani nishuke chini Nami sikutamani USTAA.. USTAA ulinitamani mimi Nilichohitaji.. ni kuitumia hii sanaa ili nishee na nyinyi Hii zawadi.. niliyopewa na MPAJI ninayemuamini MPAJI aliyenivika taji ilimradi incharge ni win Na ninaamini.. kuna muda huongea kwa kupitia mimi Na hunisamehe ninapokosea.. ni vyema mkanizoea nyinyi Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha Nikitoa ngoma.. wanaitaka.. wanaipata.. coz wewe ni special Click to expand... Uzuri wa jamaa huwa hakurupuki japo hajui freestyle tena na siku hizi amekoleza kwa kuwa na live band Jamaa hakamatiki
Kanungila Karim said: VERSE 1: Ulianza wewe.. wakaja waimbaji na wabana pua Wale mwewe.. Franga wawindaji wakatusua Kwakuwa.. wanajua mshikaji unaishi kwa miko Na zako itikadi.. ziko kimziki na sio mshiko Kama haileti hela..basi haimake sense.. no sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi Sikusound garbage au kuchange suddenly.. Mie ni mjeshi so naweza fight savagely Hiphop ya ukweli.. ukapigwa radioni Sometimes malaika wa heri nao hutembelea motoni Penzi ni kipofu na anayemuona halioni Sikuwa na hofu.. mama alinipenda tangu nikiwa tumboni I started young.. I made my mother's womb a drum/ My umblirical chord a guitar.. muhoji aliyenizaa BONGOFLAVA mzuri kiasi.. hiphop we ndo my queen My 1st.. my last & everything in between Chorus: Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2 ' VERSE 2: Kama kukupenda wewe ni dhambi.. basi shetani yu nami Na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari Ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari Sio tu bongo.. mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari Kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi Unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi Unawakumbusha wazazi wa uswazi.. chati ya uteja imeingia Na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati Mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate Chorus: Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2 VERSE 3: Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu Inanipa wazimu.. kusikia kimwana haujaachana na Hasheem Na bado mnawasiliana..una mpango wa kuchanganya timu? Nakupenda hiphop.. ndo maana ninarap ile mbaya Naspit fire bila hennessy.. au kula kaya I want my art to be my legacy.. kabla sijaretire.. waanze nigwaya hawa enemies.. anyways NI HAYO TU Beef huletwa na wivu.. na wivu sio hiphop MC nayetaka BEEF amlete Maza ake kwa strip club BONGO FLAVA ananipima.. kama nimeiva kimasomo Anagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common Cha ajabu hunitempt... ili nikuache HIPHOP Anaahidi atanipa GOOD SEX.. wewe unanipa TRUE LOVE Hajui who's next.. wewe unanipa tu mashavu Nikipaa.. anaumia.. anatamani nishuke chini Nami sikutamani USTAA.. USTAA ulinitamani mimi Nilichohitaji.. ni kuitumia hii sanaa ili nishee na nyinyi Hii zawadi.. niliyopewa na MPAJI ninayemuamini MPAJI aliyenivika taji ilimradi incharge ni win Na ninaamini.. kuna muda huongea kwa kupitia mimi Na hunisamehe ninapokosea.. ni vyema mkanizoea nyinyi Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha Nikitoa ngoma.. wanaitaka.. wanaipata.. coz wewe ni special Click to expand... Uzuri wa jamaa huwa hakurupuki japo hajui freestyle tena na siku hizi amekoleza kwa kuwa na live band Jamaa hakamatiki
MR BINGO JF-Expert Member Joined Feb 12, 2016 Posts 1,210 Reaction score 2,595 Nov 6, 2018 #6 Mbaya zaid ni kuwa na ndugu halaf kichwa maji. That's dope