Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,797
- 49,429
Nashangaa watu wanaisifia Feza kwa kufaulu hadi mtoto anamaliza form 4 milioni 45 imeisha. Je division one ya Tanzania form four ina thamani hiyo?
Hata mwanafunzi wa kitonga angewekezewa milioni 45 angefaulu tu
ukiwekeza milioni 45 kwa watoto wa Ilboru au Mzumbe si utatoka na degree kabisa au uprofesa?
Serikali idhibiti hizi ada jamani, hata kama ni private sio kwa ada hizo, huu ni ukoloni, ukizingatia ni shule za wageni na sisi tunawashobokea tu.
Tena watolewe kwenye mtaala wetu, hata Ulaya hawasomi kwa ada kubwa hivi.M45 HATA KICHAA ANAPATA division one