masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,907 Reaction score 15,152 Aug 10, 2015 #1 Ferry enzi hizo, minazi mpaka baharini. Kigamboni miaka hiyo pori!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 10, 2015 #2 masopakyindi said: View attachment 275101 Ferry enzi hizo, minazi mpaka baharini. Kigamboni miaka hiyo pori! Click to expand... Wazaramo na Wandengereko wangekuwa na akili leo hii wangekuwa mabilionea.
masopakyindi said: View attachment 275101 Ferry enzi hizo, minazi mpaka baharini. Kigamboni miaka hiyo pori! Click to expand... Wazaramo na Wandengereko wangekuwa na akili leo hii wangekuwa mabilionea.
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,907 Reaction score 15,152 Aug 11, 2015 Thread starter #4 Bavaria said: Wazaramo na Wandengereko wangekuwa na akili leo hii wangekuwa mabilionea. Click to expand... Wana akili ndio maana wakauza maeneo yote.
Bavaria said: Wazaramo na Wandengereko wangekuwa na akili leo hii wangekuwa mabilionea. Click to expand... Wana akili ndio maana wakauza maeneo yote.
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,907 Reaction score 15,152 Aug 11, 2015 Thread starter #5 Mkuu Salamander nimetafuta kitufe cha like sikioni, ahsante. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 11, 2015 #6 masopakyindi said: Wana akili ndio maana wakauza maeneo yote. Click to expand... Mbona hadi leo ni masikini wa kutupwa? Wangeyahodhi leo hii sijui wangekuwa wapi? Hao waliowauzia wamewaajiri kuwa walinzi wa maeneno hayohayo.
masopakyindi said: Wana akili ndio maana wakauza maeneo yote. Click to expand... Mbona hadi leo ni masikini wa kutupwa? Wangeyahodhi leo hii sijui wangekuwa wapi? Hao waliowauzia wamewaajiri kuwa walinzi wa maeneno hayohayo.