Ferouz huyu tutampata wapi? Fundi wa kutongoza hadi mara ya pili

Hii ngoma ingetoka enzi hizi sijui kama inhefanya vizuri.

Feruz alijipanga sana, bila kumsahau the heavyweight mc, professor Jay wa mitulinga chini ya mikono ya P funk majani.

Ukilinganisha na nyimbo za sasa kuna tofauti kubwa sana, siku hizi bongo fleva matusi huko kwenye hip-hop ni mwendo wa kupachika maneno tu muhimu vina hakuna logical sequence ya kinachozungumzwa.

Kipindi hicho zilipigwa ngoma nyingi zikiwa mbele ya muda, japo kila zama na kitabu chake ila ukweli utabaki kuwa kuna vizazi vingine vitabu vyao ni hovyo sana.

Ni heshima kwangu kuwa sehemu ya kitabu cha enzi za kina Ferouz.
 
Ni kweli kabisa mkuu, huo wimbo hata leo ukipigwa bado unahit.

Jamaa alistahili kupewa gari aisee.
 
Ni kweli kabisa mkuu, huo wimbo hata leo ukipigwa bado unahit.

Jamaa alistahili kupewa gari aisee.

Na alistahili kuwa anapata recognition kila mwaka hasa siku ya ukimwi, wimbo unatoa tahadhari ila siku hizi ajabu tunaimbiwa kwa kuhamasishwa ngono!
 
Kumbe, mbona ilisemekana kajipatia JEEP au ile alinunua?
Cheki hapo chini chief.
Screenshot_2020-09-15-10-18-46-1.jpg
Screenshot_2020-09-15-10-18-54-1-1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom