Feni za Dar: tungejua heri tungeuzwa mikoani!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Feni kutoka Japani: "dah, aaa hapa kweli kazi tu! 24/7, hawanizimi hata nusu saa nivute pumzi!...wakati mwingine najipigisha vikelele angalau waone ninaharibika lakini wapi!"

Feni from China: "afadhali yako wewe wa Japan ni original, mziki wa masaa ishirini na nne unauweza! mwenzio ninachemka hadi kuna wakati natoa joto na sio ubaridi tena, lakini wapi! tena usiombe ununuliwe upelekwe kwa mtogole!"

Feni kutoka Japan: "mamaye, tena huyu bosi hela yake isharudi lakini nashangaa sipumziki, afadhali ningekuwa imported mikoani aisee! uorijino unaniponza!"

Feni kutoka China: "mwenzio nampuzika umeme ukikatika, cha ajabu ukirudi tu mm ndo wa kwanza kuwashwa!"
 
Napita zangu
 
Duh! Feni yangu ina zaidi ya mwezi haijazimwa. Ila wakati nakanunua nilikaona ka feki. Cha ajabu kana piga mzigo mpaka me mwenyewe siamni!
 
Back
Top Bottom