Sasa wenyewe wanauza, na wao wao ndiyo wachakachuaji wakubwa! tutafika? wakichakachua ikiharibika inakula kwako!
Mkuu, mi nakutangulizia Thanks kabisa.ni very simple
1)click menu button kisha down arrow key mpaka kwenye item ya 4 itakupa options 2, manual na auto
2)click right arror key ili uende kwenye hizo options kisha uwe kwenye manual options
3)click ok kisha bonyeza 530 kisha click ok
4)ita search na kuonyesha 12 chanel found
5)exit mpaka kwenye menu kisha ITV na EATV zitaonekana
6)ukiona ITV na EATV hazina sauti bonyeza Track button chini ya power button kwenye remote yako mpaka utaona sauti inapatikana.
ikikubali usisahau kunipa thanks
ni very simple

Mkuu aminia imekubali! 🙂
Ila simple steps, hatua tilizozifuatisha ni -
main menu;
system setting;
channel search, manual search;
frequency input
- 530
kama ninavyo nukuu.
tukumbuke kuigeuza kadi, program yao inatusoma!!!

???ndo hatua hzo hzo mkuu
kugeuza kadi kivipi cjakusoma mkuu
nini tena
Mkuu aminia imekubali! 🙂
Ila simple steps, hatua tilizozifuatisha ni -
main menu;
system setting;
channel search, manual search;
frequency input
- 530
kama ninavyo nukuu.
tukumbuke kuigeuza kadi, program yao inatusoma!!!
ok nilikuwa namuliza gomer soma post za juu kidogo yy ndio alisema tugeuze kadi cjaelewa kivipi ukisoma utaelewa vzuri mkuu
Ngoja nimsaidie Gomer. Kule kwetu ukila wali wenye mchanga mwingi unaambiwa 'geuza meno'. Maana yake kula kwa uangalifu. Na yeye bila shaka ana maana kama hiyo, 'Tuwe wangalifu' kwani jamaa wanatuona kwenye program yao.
wangekua hat wana hbo ingelipiwa..tulinunua na ikalipiwa mara moja tu..cku hz hata cjui ilipo!