Lowassa atakatwa na wengi.
ndo hela za lowasa alizokuwa anawaambia watu kuwa anachangiwa na marafiki zake? marafiki wenyewe ndo hawa wahindi wezi? kazi tunayo.
Mkuu umeambiwa zilikuwa za mmoja wa wale walioingia tano bora......sasa hapo Lowasa anaingiaje?ndo hela za lowasa alizokuwa anawaambia watu kuwa anachangiwa na marafiki zake? marafiki wenyewe ndo hawa wahindi wezi? kazi tunayo.
Umesema kweli hao polisi wanatuzuga tu kuhusu hayo mamilioni ya Manji.Danganya toto wanavuta muda ili walizime hili kimya kimya kisha warudishe pesa zake. Hizi pesa zingetumika kununulia madawati katika mikoa 7 yenye hali mbaya kwa Wanafunzi kukaa chini kila mkoa milioni 100
Usishangae sana sifongo, inawezekana huyo jamaa anatumia 'masaburi' yake kufikiri, ndiyo maana ameshindwa kubaini kuwa wakati pesa hizo za Manji zinakamatwa tayari jina la Lowassa lilikuwa limeshakatwa na CC, kwa hiyo hayo mamilioni yalikuwa yamepangwa kwenda kugawiwa kwa wajumbe wa NEC ambako jina la 'bamdogo' lilikuwa limepenya huko.Mkuu umeambiwa zilikuwa za mmoja wa wale walioingia tano bora......sasa hapo Lowasa anaingiaje?
ndo hela za lowasa alizokuwa anawaambia watu kuwa anachangiwa na marafiki zake? marafiki wenyewe ndo hawa wahindi wezi? kazi tunayo.
Lowassa atakatwa na wengi.
ndo hela za lowasa alizokuwa anawaambia watu kuwa anachangiwa na marafiki zake? marafiki wenyewe ndo hawa wahindi wezi? kazi tunayo.
Mi nashindwa kuelewa kwani hizo pesa ni za aliekatwa Mwanzo au katikati?