monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,621
Habar za leo wanajamvi,
Neno 'FEDHA/PESA' si neno geni kwenye masikio ya wanadamu wakubwa kwa watoto,na neno hili lilianza kutumika mnamo karne ya 15 kwa Bara la Africa na hii ilitokana na transition muhimu (Transition from feudalism to capitalism/the decline or the disintegration of feudalism and the rise of capitalism) ambapo jamii nyingi zilibadili mfumo wa biashara kutoka kwenye kubadilishana bidhaa kwa bidhaa hadi kubadilishana bidhaa kwa fedha (at this point money became the medium of exchange)
Hivi leo fedha imeonekana kuwa muhimu zaidi na kununua vitu vingi pengine hata kinyum na matarajio ya walioigundua (japo najua Ancient Greek na Roman empire walio walianza kutumia fedha/vpande vya fedha zamani sana),hivi sasa kwenye jamii yetu fedha inanunua au kuongeza thamani kwenye vitu vifuatavyo;
1.Mahusiano,hata kama partner wako anakupenda lkn ukiwa na fedha ndyo ana kupenda zaidi
2.Kwenye ngazi ya familia yule anayemiliki fedha ndyo anakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa nyeti mfano misiba,harusi ugonjwa wa mwanafamilia fulani...hata kwenye kupanga mahari huyu mwenye fedha huwa anakuwa na sauti sana
3.Ukiwa na elimu basi jitahidi uwe na fedha kwa kuwa'money adds value to your education or knowledge' hata kama umesoma sana kama hauna fedha basi hauna tofauti na m2 ambaye hajui kusoma na kuandka
4.Fedha huleta heshima kwenye jamii hata kama ukiwa kijana utaitwa Mzee fulani
5.Fedha huleta balanced diet kwa meza
6.Fedha huongeza umri wa kuishi wa mwanadamu
7.Fedha huleta upendo,ukiwa nayo wageni kwako watakuwa hawaishi
8.Fedha hukufanya upate chochote unachokihtaji na katka muda wowote
9.Fedha huweza kumwepusha mwanadamu kutoka kwenye madhambi mfano kutamani Mali ya jirani yako as long as unapokuwa nayo huwezi tamani Mali ya jirani yako basi utakuwa umejiepusha na dhambi ya kutamani
10.Fedha huleta afya ya akili na mwili,binafsi nikikosa fedha huwa nauguwa na hatakama m2 akiniuliza naumwa sehem gani ya mwili huwa nashindwa kumjibu
Mwisho,nawashauri vjana wenzangu tuitafute fedha kwa njia zote halali na tuutumie muda vzr kusaka note' kwa kuwa fedha ndyo maisha,Fedha ndyo uhai na fedha ndyo ulinzi kwa mwanadamu yeyote ( it's a maximum security)