FCC yashiriki maonesho ya Sabasaba kwa mafanikio

FCC yashiriki maonesho ya Sabasaba kwa mafanikio

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
581
Reaction score
373



Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (FCC) Roberta Feruzi akitoa elimu kuhusu (FCC) inavyofanyakazi kwa vijana waliotembelea Banda la (FCC) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024, ambapo vijana hao wamepongeza watoa huduma kwa umahiri wao katika kutoa elimu kwa umma.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (FCC) Roberta Feruzi akiendelea kuwaelimisha wanachi umuhimu wa (PICHA NA EMMANUEL MASSAKA WA MICHUZI TV)
 
Back
Top Bottom