Fatuma Karume: CCM just shoot in the dark

Acheni kuvuta bangi mkisingizia mnavuta sigara.
 
What a braive and very intelligent lady! You got my admiration wholly.
 
Wakati Daddy yuko IKULU na akipewa mapande ya kazi za sheria kwenye Law Firm yake hakuyaona yote haya!!!!! Ama kweli chotara hizbu ni hatari sana kwa ustawi w jamii na Taifa letu.
 
Wakati Daddy yuko IKULU na akipewa mapande ya kazi za sheria kwenye Law Firm yake hakuyaona yote haya!!!!! Ama kweli chotara hizbu ni hatari sana kwa ustawi w jamii na Taifa letu.
Hoja mfilisi sana hiyo. Ni sawa na kusema kwakuwa mtu anafanyakazi katika serikali ya chama cha mapinduzi basi wote wanaipenda Ccm! Hata Nyerere alifanya Nazi katika serikali ya mkoloni lakini yeye hakuwa anawaza kikoloni
 
Wakati Daddy yuko IKULU na akipewa mapande ya kazi za sheria kwenye Law Firm yake hakuyaona yote haya!!!!! Ama kweli chotara hizbu ni hatari sana kwa ustawi w jamii na Taifa letu.
No time limit to realize the right path
 
They should start by putting the CCM house in order.

Fatma Karume

Hivi wakati huu ambapo C.U.F. kunafukuta vituko vya kumfukuza Mwenyekiti uanachama na Mwenyekiti kufukuza kamati nzima kwenye chama unawezaje at this point kusema C.C.M. should put their house in order?

It very very ridiculous!

Nakichukia chama tawala C.C.M., nakichukia kama Ukimwi, lakini kwa sasa hivi mtu wa C.U.F. hawezi kusema C.C.M. iweke nyumba yake sawa. It is classically funny, kituko cha mwaka!
 
No longer at ease (Chinua Achebe); Hamkani si shwari tena!!
 
Think out of the box! Are you an infant to be spoonfed?!
 
Slowly CCMs and all related members are emancipating them selves from power grabbing mental slavery!
 
Siku zote Fatuma ana nawazo huru na hajui kubembelezwa na pipi kama mmoja wa mzee wake anayejikomba kila siku kwa watawala
 
Huyu dada akilia ujue CUF imeshikwa pabaya.
 
Ameandika Ukweli!CCM Watekeleze Ilani Yao,Yanini Kupoteza Muda na CUF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…