Fastjet watabiri kuendeleza hasara kwa sababu ya Tanzania

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,229
50,380
Hili wamesema linatokana na udhaifu wa uchumi wa nchi hiyo, kwamba wanaendelea kuhesabu hasara.

fastjet.jpg

Budget airline Fastjet plane. Fastjet Plc says it expects to report a trading loss and remain cash flow negative in 2016 as business in Tanzania remained weak. PHOTO | FILE

Fastjet Plc said on Thursday it expected to report a trading loss and remain cash flow negative in 2016 as business in Tanzania remained weak.

The African budget airline said load factor in Tanzania for 2015 was down 6.6 percentage points to 66.7 per cent and revenues were impacted by a weakening Tanzanian economy and political uncertainty in the country.

Fastjet, which announced the departure of chief executive Ed Winter in March, said it was in the advanced stage for recruitment of a new CEO.

Fastjet expects to remain cash flow negative in 2016

pingli-nywee Samm999 waltham mwaswast Quickly Ian Cruz 1 Africa NairobiWalker Kafrican burukenge Sentry nyangau Mkenya Dani5 Iconoclastes
 
Waje kwenu sasa

Wamepigana sana wapate fursa ya kuja huku, maana sisi tutawabeba kwa sababu uwezo tunao. Wengi tunasafiri kwa ndege, ni soko muhimu sana kwa wao kutua huku.
Nyie hapo mlisababisha wakashusha nauli hadi ikawa kama daladala, yaani nilishangaa sana kuona Dar-Mwanza eti Tshs 30,000 (Kshs 1,500) na bado mnalialia.

Tumia hela kutengeneza hela, wacha kulialia....
 
Kwa hiyo hasara yao sisi inatuhusu nini???na kama mnahisa humo fastjet imekula kwenu
 
MK254 mwenzetu Geza Ulole alipoona KQ ipo kwenye msukosuko alidhania biashara ya airline ni rahisi. Kila mara mie huambia watu humu msiona Kenya iking'ang'ana na vitu mdhania mnaviweza kiurahisi tu. Hii biashara ni ngumu na ni wachache wameiweza. Mimi huipa KQ pongezi hata kama wapo kwenye msukosuko sahii. Ni KQ, Ethiopian Airline na SAA pekee ambazo ni airline za Africa kusini mwa Sahara zilizoweza kusimama tangu kuzinduliwa.
 
Big up kamanda maana huu ni ukweli ambao sisi watz hatujui behind the failure of Tz Airline, hongera KQ, SAA na Ethiopian Airline kwa kusurvive until today!
 
MK254 mwenzetu Geza Ulole alipoona KQ ipo kwenye msukosuko alidhania biashara ya airline ni rahisi. Kila mara mie huambia watu humu msiona Kenya iking'ang'ana na vitu mdhania mnaviweza kiurahisi tu. Hii biashara ni ngumu na ni wachache wameiweza. Mimi huipa KQ pongezi hata kama wapo kwenye msukosuko sahii. Ni KQ, Ethiopian Airline na SAA pekee ambazo ni airline za Africa kusini mwa Sahara zilizoweza kusimama tangu kuzinduliwa.

Aidha walikua wanalipwa na Fastjet kuipigia promo humu mpaka nikadhani itabadilishwa na kuitwa Tanzania Airlines. Biashara inataka mikakati na uvumilivu, sio mihemko.
 
Ati KQ imesimama unaota? tupe load factor ya Jambojet ambayo imebidi wachukue ndege ndoto maana zilikuwa zinapaa mswaki! BTW Magufuli has a hand on that poor performance with barring public workers from travelling and yet only 6% drop! BTW cash flow negative does not mean loss!
 
Aidha walikua wanalipwa na Fastjet kuipigia promo humu mpaka nikadhani itabadilishwa na kuitwa Tanzania Airlines. Biashara inataka mikakati na uvumilivu, sio mihemko.
Geza Ulole kama hakuwa analipwa na Fast jet basi yeye ni mbumbumbu aliyekosa kazi. Nakumbuka Skyscrapercity alikula ban juu ya kushinda akishabikia Fast Jet huku akitusi Wakenya. Akaje na account mpya ikijiita Dillema pia akala ban juu ya Fast Jet tu. Huyu jamaa ana shida hahaha.
 
Mbona Kenya Airways inapata hasara kwa zaidi ya miaka 5 mfululizo licha ya uwekezaji mkubwa.
Je tatizo ni kudorora kwa uchumi wa Kenya au? MK254

Sisi hatujawahi bisha kwamba KQ haitengenezi hasara, ila kuna mikakati inayoendelea ya kuboresha na kuifanya itengeneze faida. Tatizo lilikua pale mlijikweza kwa kutumia Fastjet hadi wengine tukadhani ni shirika lenu la taifa, kumbe mlikua mnajikomba tu.
 
Fastjet is not even Tanzanian airline ,why do antikenya sycophants celebrate this airline yet at the end of the day profits get sent back to Britain.
 
KQ, Precision Air, Fastjet, wote hasara; au kati ya hayo mashirika matatu lipi limetangaza faida?

Je, mashirika yote hayo tatizo ni soko la Tanzania?

Vv
 
Wamepigana sana wapate fursa ya kuja huku, maana sisi tutawabeba kwa sababu uwezo tunao. Wengi tunasafiri kwa ndege, ni soko muhimu sana kwa wao kutua huku.
Nyie hapo mlisababisha wakashusha nauli hadi ikawa kama daladala, yaani nilishangaa sana kuona Dar-Mwanza eti Tshs 30,000 (Kshs 1,500) na bado mnalialia.

Tumia hela kutengeneza hela, wacha kulialia....
Kitu imenimaliza na hiyo statement yao eti bongo kuna political uncertainty. Duh na magu... hapa kazi tu :D
 
Back
Top Bottom