CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
mimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidencedar-mwanza wanakupiga kuanzia 130k one-way, usiguse go n return ni zaidi ya 300k
mmh
Dar-Mwanza wanakupiga kuanzia 130k one-way, usiguse go n return ni zaidi ya 300k
mmh
Hizi ni porojo tu,ila kimtindo wameleta upinzani kwa precision,ambayo iko hoi nowmimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidence
mimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidence
mimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidence
Nivea mm nilishapata ticket kwa bei hiyo but nashindwa kuiattach hapa naendelea kujaribu ila ili upata kwa bei hiyo ni lazima kukata ticket miezi miwili kabla ya safari.
mbona bado ipo fanya booking ya tar 20 mwezi ujao kama hujapata elfu 48, msilete ushabiki hapa
Naibili hatukuambiwa hivyo! ya miezi miwili!
Aviation Industry haiendeshwi hivyo ninamashaka na aliyetoa hizo taarifa nauli haiwezi kuwa costant muda una athari kubwa kwenye ticket za ndege. Ni vyema uangalie gharama kwenye website yao kwa tarehe husikaAmanda, mwanzoni hawakusema hayo ya miezi miwili kabla. walisema unakata tiketi kwa elfu 75 bila kujali unasafiri lini! Ni kweli nimekata tiketi ya miezi miwili mblel kwenda mwanza na kurudi kwa 122,000 pamoja na mizigo midogo inclusive, lakini mwanzoni haikuwa hivyo! Sicho walichokisema!
Uko sahihi, wtu haa waongo! kama alivyosema mwenzetu angalau wameleta ushindani kea Precision,
Nauli zipo chini inategemea unasafiri lini nenda fanya booking mwezi wa nane au tisa uone kama hutapata ya 32000 au 40000 . Lakini ukikata leo usafiri kesho lazima iwe juu coz ndege zinakua tayari zimejaa ndio maanda kila mtu anakua na bei yake depend with time of booking
Kwa waliotembea duniani kote watakuambia nauli za ndege hata siku moja haziwi sawa kwa abiria wote, hii ni kwasababu jinsi demand inavyoongeza na mda wa safari unavyokaribia nauli hupanda. Hivyo kwa anayekata ticket yake mapema anapata nauli nafuu na wale wa zima moto kama watanzania wengi tulivyo lazima ulipe premium price. Lakini hata wakicharge nauli ya juu wakati wameshajiestablish sokoni sio dhambi. Wale wajuzi wa mikakati ya masoko wanajua mikakati ya Market penetration vs Market skimming na mikakati hii inatumika wakati gani. They have just moved from penetration to skimming. Nani kakwambia wamekuja kutoa msaada wa kuwasafirisha? ATC yenu yenyewe ilishindwa kuwapa msaada, halafu ndo mtegemee investor wa nje aje awape msaada? They mean business and they are doing it professionally!