iko vizuri,yaani jamaa wanakulazimisha kukudanganya mpaka unaingia line๐๐๐,ila nilicheka zaidi mbongo mwenzetu Tyrese alivoanza kujihisi yeye si binadamu wa kawaida maana karushiwa risasi nyingi na hata moja haijampata ๐๐๐
Hiyo movie niliacha kuangalia pale diesel na mdada flani wakiwa ndani ya gari wamerukia mlima mwingine kwa kutumia kamba na Gari likaharibika sana lakini wao hawakuumia hata kidogo.
Hii movie haina tofauti nakuangalia katuni. Walijua wameigiza utopolo ili kuinogesha wamewaweka John Cena na Card B.
Ila Cena ameitendea haki ila movie inaboa sana.