Fashion designing, Tailoring & Salon studies, Tabata Dar West

Fashion designing, Tailoring & Salon studies, Tabata Dar West

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
True Road College of Fashion Designing, Tailoring & Salon studies

MAHALI: Dar West - Tabata

MASOMO YANAYOFUNDISHWA:
1. Fashion aina zote-Nguo za kawaida, mitindo aina yote, nguo za send-off, Kitchen Part, Harusi nk
2. Salon- Kupamba Maharusi, Kusuka, Kuweka dawa, weaving, rollers, Kufunga Vilemba. nk

WALENGWA;
- Wanaoanza kabisa (Beginners Class)
- Wenye uzoefu kidogo (Intermediate Class)
- Utaalamu maalumu (Master Class)

MAWASILIANO;
Mkuu wa Chuo: 0715 680 773 / 0687 048 421
 

Attachments

  • school1.jpg
    school1.jpg
    73.3 KB · Views: 191
Idea nzuri... Weka na fee structure, sema kama mko registered au la...
 
Asante kwa ushauri,

Wanaoanza kabisa (Beginners Class)..............Tshs 200,000.....huchukua mwezi mmoja
Wenye uzoefu kidogo (Intermediate Class),,,,,,Tshs 250,000......huchukua mwezi mmoja
Utaalamu maalumu (Master Class),,,,,,,,,,,,,,,,,,,Tshs 400,000.....huchukua mwezi mmoja

Hatujasajiliwa, pamoja na kutambua umuhimu wa vyeti rasmi, sisi tunatoa utaaamu wa mtu kujiajiri, au kuongeza ujuzi wa mlengwa........... LAKINI, UTAPEWA CHETI ili kama ni ajira uweze kupata, upate pa kuanzia
 
MAHALI: DAR WEST- TABATA

MASOMO YANAYOFUNDISHWA
1. Fashion aina zote-Nguo za kawaida, mitindo aina yote, nguo za send-off, Kitchen Part, Harusi nk
2. Salon- Kupamba Maharusi, Kusuka, Kuweka dawa, weaving, rollers, Kufunga Vilemba. nk

WALENGWA:
Wanaoanza kabisa (Beginners Class)
Wenye uzoefu kidogo (Intermediate Class)
Utaalamu maalumu (Master Class)

FASHION & USHONAJI

Beginners-200,000 kwa mwezi(Husoma kwa miezi miwili)
Intermediate-250,000(Huchukua mwezi mmoja tu)
Master class-400,000(Huchukua wiki sita)

SALON

Salon anayeanza kabisa-250,000 (mwezi na nusu, Anyeongeza ujuzi kwenye mambo ya salon-200,000 (Huchukua mwezi mmoja).

Utaalamu zaidi - Maharusi, Make-up zote, kufunga vitambaa-make 350,000

Kuna course za asubuhi na jioni pia…jioni inaanza saa 11. unaruhusiwa kulipa zaidi ya nusu kwanza, na balance unalipa katikati ya masomo.

Kwa mwezi nafasi ni 50 tu. Kwahiyo anayelipa kwanza ndiye hupewa kipaumbele kwa mwezi huo.
Mawasiliano: mkuu wa chuo - 0715 680 773 / 0687 048 421

 

Attachments

  • school1.jpg
    school1.jpg
    73.3 KB · Views: 105
  • 2.jpg
    2.jpg
    108.1 KB · Views: 158
Mambo vp andendekisye?
Kuna kijana namshawishi aingie kwenye ushonaji tena nataka awe vizur kwenye kushona jeans sbb nimeona kuna fursa katika hili vazi nisahihishe kama siko sawa, akishamaliza kusoma vitambaa vya jeans bongo vinapatikana? Na je mnatoa haya mafunzo au mtu akijua kushona suruali za vitambaa laini basi anaweza kushona jeans?
Naiyo fursa ninayoiona ipo au mbele kiza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom