Fasheni ya Mwendokasi.

Uhuni wao uko qualified yaani umeenda shule .... huo naustahimili...sio sawa na ule uhuni wa kupigwa miruzi au kuitwa kama nyau au kushikwa shikwa...... huo nawaachia watoto....

Kasie.

Hahaha. Haina noma.
 
Nawasiwasi na sexuality yako,sio mkoboaji kweli weye?
 
Duu!!huyo wa katikati imetuna niaje![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Ni mtu mmoja huyo wamepiga kwa 'position' tofauti...lakini ni mtu huyo huyo na tukio hilo hilo u
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mh!!! shetani kamshika mwanamke awe jiwe letu la kujikwaa, Mungu atusaidie.
 
Mhuuuuu ngoja nitafute miwani sioni vizuri
 
Mkuu umemuelezea mulemule nilipokuwa nafikiria
 
pamoja na yote, she is very beautiful 😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…