Far from average,single young man looking for a partner

Haku

Hakuna
Kuna kitu ambacho hakijakaa sawa wewe Dogo, utakosaje mwanamke.?
1: wewe tuambie umri wako ili tujue status yako, coz huwezi nambia una umri 35 above afu bado unaedesha vits

2:huwezi kuwa na umri wa mwanaume, sio wavulana afu bado unalala kwa shemeji seblen

3: jieleze vizuri ueleweke kama uko 25 basi tu najua unataka wa kuanza nae maisha tutakuelewa tofauti na hapo pambana.

Nb. Kama kawaida yangu natoa elimu ya bure yenye ukweli.

Note:: its better to cry in a VX than a bike.😁😁😁😁😁natania jamani.
 
Nilivojielezea vinatosha,vyengine vinapatikana private.
 

Kwa hiyo sisi wenye miaka 42 na hatuna hata driving licence mnatoaga kwenye kinyang’anyiro.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mambo ya mapenzi hayaitaji kingreza Sana sbb hakuna pa kuyatumia
 
So nobody messaged me..unlucky me
 
Or everybody is taken down here?
 
Humu wengi wazee wenye familia,tafuta huko mtaani au facebook.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…