Teh teh teh teh... ME naye anatakiwa kuwa na chura??!Chura ipo?
Acha ukware wewe...mwanaume huyoChura ipo?
Msaidie kusahihisha ili na wengine tusiomudu lugha tujifunze. BTW asipofanya mazoezi ataimudu vipi?Kheri ungeandika kwa kibantu mkuu, maana kwajinsi ulivyo ivunja hii lugha ya bepari... mwisho nimekuonea tu huruma, maana huku ndiko penye tunaita kuchamba kwengi..... , ona sasa umeyashika......tehteehh
Sawa mkuu, ngoja nitoke kwenye jumuiyaMsaidie kusahihisha ili na wengine tusiomudu lugha tujifunze. BTW asipofanya mazoezi ataimudu vipi?
Hivi kweli hakuna mdada alojitokeza? Au Maelezo hayakujitosheleza, na tunavyopenda waongea kinge?
Mrejesho muhimu aiseee!