K Kifarutz JF-Expert Member Aug 7, 2012 1,736 359 Sep 14, 2012 #1 Comrades, Naomba kujua kama serikali iliishafyata mkia wake mrefu kuhusu mtu aliyeaacha kazi kuvuta fao lake la akiba kabla ya kufikisha miaka ya 55 or 60. Na zile longolongo zimefikia wapi?
Comrades, Naomba kujua kama serikali iliishafyata mkia wake mrefu kuhusu mtu aliyeaacha kazi kuvuta fao lake la akiba kabla ya kufikisha miaka ya 55 or 60. Na zile longolongo zimefikia wapi?
commited JF-Expert Member Feb 27, 2012 1,626 870 Sep 14, 2012 #2 hili swala iemekula kwetu mkuu, na yoote hayo ni kwasababu haliwagusi wabunge wala mawaziri, so no body care about you tanzanian.
hili swala iemekula kwetu mkuu, na yoote hayo ni kwasababu haliwagusi wabunge wala mawaziri, so no body care about you tanzanian.