PintoG JF-Expert Member Joined Jun 12, 2017 Posts 612 Reaction score 732 Jan 4, 2018 #1 Kwa nini baadhi ya mifuko ya hifadhi ya jamii inaruhu fao la kujitoa na baadhi ya mifuko hairuhusu kabisa. KIMSINGI hili jambo linaumiza maana mpaka ufike 55 (iwapo sasahivi una 25-35)yrs hiyo pesa unadai haitakuwa na thamani hiyo.
Kwa nini baadhi ya mifuko ya hifadhi ya jamii inaruhu fao la kujitoa na baadhi ya mifuko hairuhusu kabisa. KIMSINGI hili jambo linaumiza maana mpaka ufike 55 (iwapo sasahivi una 25-35)yrs hiyo pesa unadai haitakuwa na thamani hiyo.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,450 Jan 4, 2018 #2 Toa mfano ili tujue upi unaruhusu na upi hauruhusu
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,118 Jan 4, 2018 #3 Wameshindwa kusema kuwa wamepora hela zetu ndiyo maana wanatumia kigezo cha kufikisha miaka 55
PintoG JF-Expert Member Joined Jun 12, 2017 Posts 612 Reaction score 732 Jan 4, 2018 Thread starter #4 MKWEPA KODI said: Wameshindwa kusema kuwa wamepora hela zetu ndiyo maana wanatumia kigezo cha kufikisha miaka 55 Click to expand... Ukienda PSPF unaambiwa hakuna fao la kujitoa,ukienda NSSF unaprocess unaambiwa baada ya miezi 6 utapata.
MKWEPA KODI said: Wameshindwa kusema kuwa wamepora hela zetu ndiyo maana wanatumia kigezo cha kufikisha miaka 55 Click to expand... Ukienda PSPF unaambiwa hakuna fao la kujitoa,ukienda NSSF unaprocess unaambiwa baada ya miezi 6 utapata.
G gusya Member Joined Apr 2, 2017 Posts 30 Reaction score 11 Jan 4, 2018 #5 Hii nifuko jmn! Mungu anawaona