Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Twende kwenye jukwaa la biasharaUlishaambiwa uache masuala ya mapenzi.
Uza simu tu.
Tatizo linakuja pale unapokuwa umeelewa show alfu wewe ndio unaanza kuteseka.Hii ni kwa wale mabaharia tu,watoto wa mama piteni kushoto huko!
Unapomfuatilia Demu na akaonyesha nyodo za hapa na pale wewe vumilia tu jifanye mpole na mstaharabu huku ukijiribu kukwepa mishale ya mizinga kadri uwezavyo!
Siku akikupa papuchi cheza gemu kama ile ya Liverpool na Barcelona aliyechezea 4,kisha baada ya hapo ukimsindikiza akikupigia usijibu SMS wala akipiga usipokee!
Hii itamtesa kisaigologia next time atakuwa na heshima kama zote
Mkuu tatizo watoto wa mama hawaelewi,Uzi ni wa mabaharia wamevamia watoto wa mamaNi ukweli, mwanamke ukimkula halafu ukawa kama unakaa kaa kimya after, ANAYESEKA SANA
Nyie watoto wa mama Uzi huu sio wenu
Kama wewe siyo mwanamke huu ushauri wako ni batili hivyo nasema tutumie solar na nishati nyingine ndogo ndogo ili tuinusuru Yanga na Man U kushuka daraja.Mwanamke hakomolewi na mapenzi ya kutumia nguvu na kutoana jasho, ila anakomolewa na mapenzi laini na yenye kumfanya atamani kuwa nawe siku zote.
Akitoka hapo lazima ahisi kweli alikuwa na MWANAUME, tusiwaparamie kama tunakwea minazi ili tu kukidhi haja zetu. Ukitaka kumkomoa mpe kitu special ambacho atajivunia kwako.
huu utoto nilikuwaga naufanya secondary form 3 A scienceHii ni kwa wale mabaharia tu,watoto wa mama piteni kushoto huko!
Unapomfuatilia Demu na akaonyesha nyodo za hapa na pale wewe vumilia tu jifanye mpole na mstaharabu huku ukijiribu kukwepa mishale ya mizinga kadri uwezavyo!
Siku akikupa papuchi cheza gemu kama ile ya Liverpool na Barcelona aliyechezea 4,kisha baada ya hapo ukimsindikiza akikupigia usijibu SMS wala akipiga usipokee!
Hii itamtesa kisaigologia next time atakuwa na heshima kama zote
Ni kweli kwa namna ambavyo mkataba wa umoja wa mataifa unavyotaka ni ngumu Simba kuingia katika soko la mbaazi kwa vile India imepeleka wanajeshi kulinda amani kwenye visiwa vya Caribbean.Kama wewe siyo mwanamke huu ushauri wako ni batili hivyo nasema tutumie solar na nishati nyingine ndogo ndogo ili tuinusuru Yanga na Man U kushuka daraja.
Mwanamke hukupenda zaidi ukisha mvua pichuNi ukweli, mwanamke ukimkula halafu ukawa kama unakaa kaa kimya after, ANAYESEKA SANA