Uko mtaani maybe huna kazi/umekata tamaa/school dropout na unakosa sehemu ya kuanzia. Unaweza fanya haya yatakusaidia
• Tengeneza marafiki wa rika na daraja tofauti. Piga story na watu.
• Tafuta chochote kitakacho kuweka busy.Eg kuchora,kuandika,kucheza mpira,msanii andika nyimbo,kusoma vitabu N.K.
• Punguza muda wa kuangalia/kutumia tv/social media [social destructives]
• Kwa kila pesa utakayopata either umepewa/umeokota save 15% to 30%.
• Jifunze kitu kipya kila siku.Eg kushona,kupika.
• Sikiliza muziki unaoupenda/ [usiruhusu stresses za kua mtaani zikutese].
• Kila wazo(idea) unalopata either la biashara au maisha kwa ujumla make sure unaliandika.
• Abudu unachoamini kama ni mskitini au kanisani nenda.
• Kua karibu na familia.
• Sikiliza ushauri.
• Kua msafi [smart]
#Bellyache