baadhi ya watu wanaoishi na VVU hupata huo ugonjwa sababu ndio inasemwa kwamba kinga kupunguaKwamba Kinga ikipungua mwilini tu automatically unapata fangasi ?
Sawa,ni matibabu ya aina gani yanaweza kusababisha hio fangasi?Kwa sehemu kubwa ya watu wenye upungufu wa kinga mwilini zinazoweza kuwa zimesababishwa na magonjwa kama vile Virusi vya ukimwi lakini pia kutokana na matibabu huwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupata aina hiyo ya fungus .
Fluconazole ina uwezo wa kupita vizuri kwenye kizuizi cha ubongo ( Blood Brain Barrier ) hivyo huweza kutumika kwa matibabu ya aina hii ya fungus .
kwa wasio na VVU sijajua mkuuHapo nimeelewa,vipi watu ambao hawana VVU inawapata vipi?
OK na vipi kuhusu fangasi ya mdomoni?Mostly fungus ya kichwa(ubongo) huwa wanapata zaidi waathirika wa ugonjwa wa ukimwi kama ilivyo TB ambayo 60% moka 70% ya wenye TB huwa ni waathirika hivyo huwaendesha zaidi kutokana na mfumo wao wa kinga kuwa chini
Ok,Alikuwa anatundikiwa kwa maana kwa mfumo wa dripu?Kuna mtu nimewahi kumuuguza alikuwa anatundikiwa hivyo vidubwasha kama nane hivi ikabidi nigooggle kuona inatibu nini nikajua kama ulivyojua ila kama wadau walivyosema wenye maambukizi ya VVU wanapata changamoto hiyo, maana huyu mgonjwa alikuwa anafika hatua anakuwa kama anapata ukichaa kbs
Hapo ndio hasa penye swali, maana kinga ikipungua magonjwa mengi tu yatakushambulia,sasa nataka nijue hao wengine ambao hawajaathirika wanapataje?au hawapati?Swali la Mdau ni kwamba ni kweli 60-70% wanaopata ni waathrika wa VVU, je hiyo 30% iliyobakia inasabishwa na kitu gani?
Na fangasi ya mdomoni vipi?Fangasi ni tatizo linalotegemea na kinga.
Kinga ikiwa imara hawana tatizo.
Kinga ishuka sasa [emoji116]
Hiyo CM.. Isikie tu, inawapata wengi wenye HIV stage 4 , na ukifikia hiyo hatua ,KUONDOKA NI 100%.
Na Hiyo Dawa ,ndio pekee inayotumika kutibu CM kwasababu ndio inayopenya BBB .
Fangasi wa Mdomoni na wa kooni pia wanatibiwa na hii DawaNa fangasi ya mdomoni vipi?