Fance wire

Fance wire

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Punguzo la bei kwa kipindi hiki cha Christmas na Mwaka mpya,kwa aina zote utapata kwa 85,000/=
0715-011022
 
kwa ukubwa gani/urefu wake je ni mpya au used?
 
Ni mpya kabisa maana kiwanda tunacho hapa hapa Dar.....
 
Hilo jina labda la madawa ya Zika. Kwenye terminology za kiufundi halipo
 
Bado hujaainisha ni aina gani kwa kile ulichokusudia. Umekimbilia kutaja bei tu. Rudi ukajifunze namna ya kufanya matangazo ya biashara.
 
Hujataja kiwanda chenu kinaitwaje, kiko wapi, na uzalishaji wa hiyo bidhaa unamlenga nani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom