Family home

ARYANNA

New Member
Jun 19, 2012
4
1
HABARI WADAU
Na habari nzuri nataka kuwatangazia kwa wale ambao wanahitaji na wana tafuta nyumba ya kifamilia.(YAKUPANGISHA)
NYUMBA INA
VYUMBA 3(1MASTER BEDROOM)
CHOO CHA NDANI 1
CHOO CHA NJE NA BAFU 1
JIKO KWA NDANI
SEBULE nk
UWANJA MKUBWA
HAPA HAPA DAR BEI NAFUU KWAMAWASILIANO YA MWANZO (mriziki@rocketmail.com),
 
Iko sehem gani? Na kwa mwezi ni kiasi gani? Mana nami natafuta nyumba ya kupanga ya familia
 
Back
Top Bottom