Familiya ya kitajiri

hayo ni maamuzi ya wanafamilia, matahiri wengi wanapenda hali ya utulivu so watoto wengi kero kwao, maskini watoto ndo utajiri wao, ndivyo wanavyoamini ili baadae itokee ndondokela ya mmoja wa watoto kuja kuwa tajiri aikomboe familia Kutoka kwenye ufukara, ni imani tu ndo mana maskini hujipinda kuzaa kila kukicha ili kutafuta mkombozi wa familia. chunguza hata baadhi ya hao matajiri wametokea katika familia maskini!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…