Nadhani alitumwa na mwajiri wake mwananch media kuchunguza yanayoendelea kosa lake ni lipi?Hapo wa kuonewa huruma ni Ben Saanane, ila Azory Gwanda kuna dalili zote alikuwa anashirikiana na wale washenzi wa Kibiti ndio maana serikali ikaamua kumpoteza, huwezi kushirikia na magaidi wanaoua makumi ya watz na kuleta taharuki halafu serikali ikuchekee tu kwa kuwa ni wewe ni mwandishi wa habari.
Nadhani alitumwa na mwajiri wake mwananch media kuchunguza yanayoendelea kosa lake ni lipi?
Kweli kabisa, yule mnyampala wa barabara ambaye nu Mr. Kufoka ajiandae kurudi kwao kuvua samaki. Ametusababisha tuishi maisha mabaya.
Unaweza kusaidia uchunguzi ukikamatwa wewe.Hapo wa kuonewa huruma ni Ben Saanane, ila Azory Gwanda kuna dalili zote alikuwa anashirikiana na wale washenzi wa Kibiti ndio maana serikali ikaamua kumpoteza, huwezi kushirikia na magaidi wanaoua makumi ya watz na kuleta taharuki halafu serikali ikuchekee tu kwa kuwa ni wewe ni mwandishi wa habari.
Sio suala dogo hiloHivi hizi familia zina hali gani mpaka sasa, je matumbo yaliyowazaa watu hawa na maziwa yaliyowanyonyesha yanajisikia vibaya kwa kiwango gani?
Najaribu kuvaa viatu vya mama yake Ben na mke wa Azory.
Nishauri utawala huu ukiondoka madarakani ndugu wote waliopotelewa na ndugu zao wajiorodheshe majina waombe uchunguzi huru juu ya WHEREABOUTS ya ndugu zao.
Kupotelewa na mme au mtoto sio Jambo dogo hata kidogo. Ndugu zangu watanzania tunapoelekea uchaguzi tutafakari pia machungu waliyonayo wanafamilia na wanaukoo waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira ya kutatanisha halafu polisi wanachukulia POA.
Adimin naomba msiu merge Wala kuufuta Uzi huu.
Akhsante.
S...!
Halafu anarukaruka zuchu wakati Kuna watu wamepotea bila yeye kutoa neno kwahiyo miruko ya zuchu ni Bora kuliko ndugu wa Ben na Azory ?Awamu ya tano ndiyo umetia fora kwa uhuni huu wa kuuwa raia wake. Madhalimu wanapotawala nchi huugua. Yote haya mwisho ni tarehe 28 Oktoba 2020. Wakiiba kura watakiona cha moto kilichomfanya Mobutu na Iddi Amina Dada kufia ugenini.