Familia moja ktk kitanda kimoja

mysteryman

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
1,080
Reaction score
393
Siku 1 baba na mama walilala ktk kitanda double deka na watoto wao wawili....watoto walilala juu wao wakalala chini ilipofika nite kali dingi akataka mchezo so wakaanza mpodo kama kawaida...mzuka ulipanda sana wakatingisha kitanda mtoto mmoja akadondoka....ikabidi wakakatiza wakambembeleza wakamlaza kisha wakakaa kama dk kadhaa kuzuga ili watoto walale tena...walipohisi wamelala wakageukiana kuendelea na mpodo mara yule mtoto mkubwa akasema amina jishike vizuri wameanza tenaaa....wazee hoi duh
 
Mmmhh!!! uzalendo uliwashinda mdingi alisikika akisema tena mjishike haswaaa!!
 
Duu! Hawa watoto nuksi sana, hawa ndio uwa wanatoboa tundu kwenye shuka!
 
kweli gemu ni hatari..! namna hiyo watoto wanaweza wakatoboa godoro buree washuhudie mechi...!
 
Nani wa kulamiwa,haya ndo maisha ya kibongo hasa uswazi
 
teheheeee, basii na watotoo wanaanza kufanya walivyoona...
 
Hehee! Acha washilie vizur ili waongezeke kwn wazaz wamekosa faragha hivyo wanatumia nafasi chache wanazopata,
 
dah hii kali maisha haya yapo na hali hii ngumu wazazi wanapanga chumba kimoja na watoto du
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…