Kaka uko desparate; unawatisha watu, na hiyo biashara ya kuahidi ahidi vitu unnaonekana **** (samahani kutumia hilo neno). Halafu mdada wa 21, ndio kwanza anaanza kuiona dunia, wewe unataka asettle. Tafuta wa 26-30, ndio saizi yako hao. Develop friendship zisizo fake, usiwe mtu wa kujisikia; then say baada ya 4-6 moons ndipo useme intention yako!
Thanks brother kwahiyo niachane naye tu asinizingue eti e!Ase we mwombe mungu usiangalie eti rafiki zako wameoa au nn kila kitu kwa wakati wake ukitaka kulazimisha unaweza ukaja jutia maishani.....unabaki kusema ningejua yan calm down kabisa amini wako yupo is the matter of tym only....
Ase we mwombe mungu usiangalie eti rafiki zako wameoa au nn kila kitu kwa wakati wake ukitaka kulazimisha unaweza ukaja jutia maishani.....unabaki kusema ningejua yan calm down kabisa amini wako yupo is the matter of tym only....
Hivi mpenzi wa kweli utampataje. Is not a jock. Mimi ninatafuta mke wa kuoa, kila mwanamke ninayekutana naye nikimpenda huwa sivungi ninamueleza matarajio yangu kwake kuwa ninataka nimuoe na sitaki mapenzi ya kuchezeana tu. Chakushangaza wengi ukiwatangazia hilo, wanakukwepa na hawakutaki tena. Kuna msichana nimempata hivi karibuni nimetokea kumpenda, amekubali awe na mimi. Tatizo sasa ananipelekesha sana, mara nikimpigia simu anakuwa mkali, ananijibu majibu ya kunya, akisema kitu hata kama kinaniumiza yeye anaonapoa na anang'ang'ania.
Ninafanya kazi umri wangu 29 yr yeye 21 yr nina mshahara mzuri tu. Na nimemuahidi vitu vingi na vingine nime anza kutekeleza. Nisaidie hivi falsafa ya mapenzi ikoje?

Thanks nimekusoma vizuri sana.falsafa ya mapenzi:
- usiwe too desperate; unadate na mwanamke 21yrs ni mdogo bado anakua hajaona mengi na hiyo ndiyo tabia yao ijue in advance.
- usilazimeishe mapenzi; kutoa promises na kutimiza hizo ahadi si lazima mtu aendelee kuwa na wewe zawadi si kigezo.
- usipelekeshwe na mwanamke, hunakitu kinachoku-bind kwake, si mkeo, huna watoto nae iweje akupelekeshe.
- ongea kama mtu nanfanya kitu kinachokukera, anakujibu hovyo wewe husemi lolote, kulalamika kwako hakukusaidii.
- unalalamika ukimwahidi mtu ndoa anasepa;
- unafeatures za kua mume wa mtu usije laumu watu bure kumbe wewe ndiyo tatizo
- hao unaowahaidi ndoa wapo tayari
- umee-date na mtu mwezi mmoja unataka ndoa unadhani atakubali. Ndoa inahitaji kujuana kuna maisha baada ya ndoa.
- ku-handle mwanamke hakuna formula ni mtu kama wewe ana-interests zake jaribu kuwasikiliza na waelewe.
7. kua mwangalifu kwenye hizo harakati zako
usikubali kutoa ahadi ambazo hazitimiziki pia usiahidi tu kuoa mapema yaani ndani ya mwazi unaanza kuzungumzia ndoa acha aseme mwenyewe kwani kwani wanawake wa siku hizi wanahofia sana ndoa kwani wanaona ni kunyimwa uhuru