Falsafa ya Dkt. John Pombe Magufuli

Mmeiba matrilioni sasa mnazungumzia falsafa.Ama kweli uhuru ni kitu kizuri na kibaya.Wakati wa huyo Hayati ungethubutu kuandika falsafa ya mtangulizi wake?Ungeozea Keko.Nyie sukuma gang mjue hii ni awamu ya sita.
 
Huyo jamaa aliyeandika post hii ni mbumbubu tumdharau tu.Kaandikiwa na wale waliokula matrilioni kama ripoti ya CAG inavyoarifu.Hawa wapo wengi.Bado wanaota kuchota mabilioni.Nasikia wanajiita Sukuma Gang.Isitoshe huyu bado haamini kuwa sasa tupo kwenye awamu ya sita.#Kazi iendelee. Salaam za Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.
 
Huyo jamaa hakuamini kwenye kujenga taifa bali alitaka kila mwenye hela awe masikini na kila masikini aendelee kuwa masikini zaidi. Ni mjinga sana kwakweli. Hakuna falsafa aliyoweka alikuwa kama alfu Lela Ulela tu. Amebahatisha huo mradi wa umeme tu Ila mengine ya kawaida tu. Barabara hakuna serikali ambayo haikujenga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…