Chadema si chama chenye falsafa ya nguvu ya umma(ujamaa),msitudanganye hapa!!!...tumewashtukia long time!!Duh mbona sipati falsafa ya CCM:juggle:
Chadema si chama chenye falsafa ya nguvu ya umma(ujamaa),msitudanganye hapa!!!...tumewashtukia long time!!
CCm ni chama chenye itikadi ya kijamaa ila viongozi wake wapo corrupt!!!...
Hivi wewe mbona kama unaelewa the curent falsafa ya CCM, yaani live. Unajua kuna documents lakini falsafa huonekana kwa matokeo ya matendo fikra, hebu endelea kutueleza vizuri zaidi.Falsafa ya CCM hii hapa kwasasa................
Nawakilisha wanaJF....
- CCM ni chama kilichobadilisha malengo kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi kwenda Chama Cha Mafisadi
- Udanganyifu na uchakachuaji ni moja ya nguzo muhimu za chama cha mapinduzi na kiko tayari kupigania hilo mpaka mwisho
- CCM ni chama ambacho unapotaka kuongelea suala la haki,ustawi wa mtanzania ni lazima uwe mwendawazimu kidogo la sivyo hutaweza
- Kwetu kupokea rushwa ni haki na kila mtanzania ajifunze kufanya hivyo kwa maendeleo yake binafsi
- CCM inasisitiza uzalendo na maslahi ya nchi baadae,maslahi ya mtu binafsi na chama kwanza..
Falsafa ya CCM hii hapa kwasasa................

kuhusu wao ANAIJUA MAKAMBA teh! Hawana ishu wale, wamejaa propaganda na uzushi ndani yao, wanafiki, waongo, wachoz wasiojua Uongozi, mwisho wao/anguko lao ni hili!
Nguvu ya umma ni ujamaa....i.e the public ownership of major means of production,CDM kama ulivyoona kwenye interview niliyoipost,wanabase sana kwenye ubinafsishaji!.nguvu ya soko.
falsafa ya chama inaweza kuonekana zaidi kwa ku examine dhamira ya chama chenyewe kuliko hata kuangalia ile iliyopo katika makabrasha.
falsafa ya CCM inaonekana ni kuhakikisha inatawala nchi daima, kwa njia halali au zisizo halali haijalishi.Pia ni kuhakikisha maslahi yake yanalindwa hata kama hayana faida kwa taifa.
Kwamfano; kwa suala kama la katiba. kama serikali ingekua inataka kwa hiari kuunda katiba mpya, me sioni ugum wowote.lingeka suala la mda mfupi na garama kidogotu.ila kwa sasa linataka kuchukua hata maisha ya watu.
Falsafa ya CCM ni MAPINDUZI DAIMA au UJAMAA
Mkuu Martin umenichekesha sana kwamba falsafa ya hawa CCM ni kuchukua chako mapema na ukatoa list safi ya walochukuwa na vilivyochukuliwa mapema na bado uchukuzi unaendelea! Sina mbavu...Kwani mpaka leo hamjajua falsafa ya CCM mbona iko wazi kabisa..
Angalia aliyofanya Lowana Kuchota mabilioni hadi Nyerere akamshtukia...
Ona aliyofanya Rostam na kampuni yake ya Caspian
Manji na kashfa ya Quality plaza
Mkapa na kiwira na hotel africa ya kusini
Jk na hotel ya serengeti na ikulu ya chalize
mramba na PrecisionAir wizi mtupu..
Mgonja na jengo refu kupita yote arusha next to Golden Rose hotel
yona na kuuwa General tyre na yeye kuwa agent wa tyres kutoka china na kwingineko..
KWA KIFUPI FALSAFA YA CCM NI CHUKUA CHAKO MAPEMA... KWANI WATANZANIA NI WAJINGA NA HAWAJASOMA..
SASA ITAWATOKEA PUANI...